KWA HABARI ZA BURUDANI, MICHEZO NA MATUKIO MBALIMBALI
Saturday, August 17, 2013
Momba, Mwamakula kumaliza ubishi kesho katika ndondi
Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos
Mwamakula baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa
ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa friends corner ManzeseDar es salaam

Bondia
Habibu Pengo kushoto akitunishiana misuli na Iddy Mkwera baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofaNyika Manzese Dar es
salaam siku ya jumapili.
No comments:
Post a Comment