MICHARAZO MITUPU
KWA HABARI ZA BURUDANI, MICHEZO NA MATUKIO MBALIMBALI
Sunday, May 6, 2018
Rostand anatunguliwa na kipa mwenzake
›
YANGA wanafungwa bao la nne kwa mkwaju wa penalti iliyopigwa na Zammamouche na kuifanya USM kutoka na ushindi mnono wa mabao 4-0. Pambano li...
Waarabu wanapata penalti
›
USM wanapata penalti baada ya Dante kucheza faulo ndani ya lango lake.
Zimeongezwa dakika mbili
›
ZIMEONGEZWA dakika mbili kabla ya pambano la Yanga na USM Alger kumalizika na matokeo bado ni 3-0.
Dante ameumia
›
BEKI na nahodha wa mchezo wa leo, Dante ameumia na anapatiwa matokeo. Bado dakika mbili mpira kumalizika. Yanga wapo nyuma mabao 3-0. Yohana...
Pato anaingia kumpokea Makapu
›
YANGA imefanya mabadiliko kwa kumtoa Juma Said 'Makapu' na kuingia Pato Ngonyani. USM Alger wamebanwa kwa sasa, lakini bado wanaongo...
Darfalou alimwa kadi naye
›
Oussumana darfalou naye anapewa kadi ya njano kwa kumchezea Abdallah Shaibu Ninja anayekaba hadi kivuli. Dakika ya 70. Mabao bado 3-0.
Juma Mahadhi apewa kadi
›
JUMA Mahadhi anakuwa mchezaji wa kwanza kupewa kadi ya njano katika mchezo huu, Matokeo bado 3-0.
Rafael anatoka Abdul anaingia
›
Juma Abdul YANGA imefanya mabadiliko ya kumtoa Rafael Daud na kumuingiza Juma Abdul ikiwa ni mbinu ya benchi la ufundi la Yanga kuimaris...
Yanga inapigwa la tatu
›
MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa Yanga baada ya wenyeji kuandika bao la tatu, kutokana na uzembe wa mabeki na kipa Rostand na Abderrahman...
Hassan Kessy anaupiga mwingi
›
BEKI Hassan Kessy ndiye pekee anayeonekana kujitoa uwanjani akihakaka kila mahali.
Waarabu wameanza uhuni wao
›
MMOJA wa wachezaji wa USM Alger anafanya uhuni wa kupiga mpira na kumgandishia mguu beki Dante na kumfanya apatiwe matibabu. Hata hivyo Dant...
Mopira umeanza
›
Dakika 45 za pili zimeanza, na Yanga wanafika langoni mwa USM Alger. Matokeo bado 2-0.
Timu zinarudi uwanjani
›
TIMU za Yanga na USM Alger zinarudi uwanjani kuanza kipindi cha pili.
Takwimu za nusu ya kwanza
›
USM Alger Yanga 2 Goals 0 9 Shots 3 3 Shots...
Ni mapumziko sasa
›
Pambano la Yanga na USM Alger limemaliza dakika 45 na wachezaji wanaenda mapumziko kupewa mawaidha kabla ya kurudi uwanjani kwa kipindi ch...
Imeongezwa dakika moja ya nyongeza
›
Imeongezwa dakika moja kabla ya mapumziko, Yanga bado ipo nyuma kwa mabao 2-0
Yanga wanakosa bao
›
Shuti la Mwashiuya linaokolewa na kipa na kuinyima Yanga bao. Bao 2-0
Pengo la Tshishimbi, Chirwa, Ajibu laonekana
›
Bado dakika tano kabla ya mapumziko, lakini Yanga bado inahaha kurejesha mabao waliyotanguliwa na wenyeji wao, huku mapengo ya nyota wata...
Mambo bado magumu
›
Pambano la Yanga na USM Alger bado linaendelea na Yanga wanapigwa bao la pili baada ya kona ya wenyeji kusindikizwa wavuni na Farouk Chafai ...
Yanga inapata kona ya kwanza
›
Yanga wanapata kona baada ya shambulizi lao kuokolewa na mabeki, wakati Geofrey Mwashiuya akijiandaa kufunga. Hata hivyo haijazaa matunda. D...
Uwanja umeelemea kwa Yanga
›
DK 25 Yanga bado wanakimbizwa, licha ya kujitahidi kurudisha mashambulizi, lakini ni kama uwanja umeelemea upande mmoja. Bao matokeo ni 1-0...
Yanga chupuchupu tena
›
Yanga chupuchupu wapigwe bao la pili, makosa ya Andrew Vincent 'Dante' na kipa Rostand ambaye amekuwa akitoka ovyo langoni mwake bil...
Yanga wanakoswa koswa
›
WAWAKILISHI wa Tanzania Yanga, bado wanashambuliwa na USM Alger, huku ikionekana upande wa kushoto unaolindwa na Gadiel Michael ukiwa uchoch...
Dakika ya 15 mambo bado
›
Matokeo bado ni 1-0 wenyeji wakiwa mbele, huku nyota wa Yanga wakionekana kuzidiwa na wenyeji.
Yanga yatanguliwa bao la mapema
›
DAKIKA ya Nne tu, Yanga wamesharuhusu bao la kuongoza la Waarabu wa USM Alger baada ya mabeki na kipa Youthe Rostand kushindwa kuokoa kros...
›
Home
View web version