Katibu Chama cha Madaktari ajiuzulu na kutua CHADEMA
Aliyekuwa Katibu Mkuu na baadaye President-Elect wa Chama cha Madaktari Tanzania, MAT,
Dk Rodrick Kabangila ametangaza rasmi kujivua na kujiudhulu nyadhifa
zake zote ndani ya chama hicho cha kitaaluma, na kutangaza kujinga rasmi
na chama cha siasa, CHADEMA.
Katika
taarifa iliyooneshwa na runinga ya Star-Tv, Dk Kabangila amesema kuwa
kwa mujibu wa sheria, imembidi kuamua kufanya lililo sahihi na sasa
amejiunga rasmi ili kupata wigo mpana wa kupigania maslahi ya fani,
madaktari na wananchi.
No comments:
Post a Comment