MISS UTALII TANZANIA WAPONGEZWA
Raisi wa Miss Utalii Tanzania
Ndugu Erasto G. Chipungahelo akimkaribisha Mratibu wa masoko wa Chuo
kikuu cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma kuzungumza na
washiriki wa Miss Utalii (hawapo pichani).
Mratibu wa Masoko wa Chuo kikuu
cha waandishi wa Habari Bi Sophia akiwakaribisha washiriki wa Miss
Utalii Tanzania Taifa 2012/13 Chuoni hapo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania
Taifa 2012/13 wakiwa katika picha ya Pamoja na Mratibu wa Masoko wa
Chuo Kikuu cha waandishi wa habari na Mawasiliano.
Chuo Kikuu
cha Waandishi wa kimewapongeza Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 kwa
elimu walizo nazo na kuwasihi watumie elimu zao kutangaza utalii wa
Tanzania Jambo ambalo lina manufaa makubwa kwa jamii ya Watanzania
Akizungumza na washiriki hao Kijitonyama Jijini Dar es salaam,
Mratibu wa masoko wa chuo hicho ndugu Sophia
Ndibalema aliwataka kutumia Fulsa ya kuwa warembo hasa utalii kwa
kujitaftia nafasi zaidi za elimu ya juu kwa manufaa yao Jamii na Taifa
kwa ujumla, alisema nafasi zipo wazi kwa wale wenye kuhitaji na wenye
sifa za kujiunga chuoni hapo kwa nafasi ya Cheti, Diploma na Shahada,
alisema amefurahishwa na muonekano wa asili na mavazi ya heshima kwa
washiriki hao hivyo kuondoa dhana kuwa washiriki wa urembo kuwa ni wale
wanaovaa mavazi yenye Kudhalilisha jamii hii inathibitisha kuwa Miss
Utalii ni Zaidi ya Mashindano Mengine na ni Alama ya Urithi wa Taifa na
kielelezo cha mwanamke au Binti wa Kitanzania
No comments:
Post a Comment