MAKUNDI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yametangazwa jioni hii ambapo Mabingwa wa Engand, Manchester City wamejikuta wakiangukia kundi moja na Bayern Munich huku Liverpool ikiangukia kundi B lenye vigogo Real Madrid.
Kwa mara nyingine Arsenal wameangukia kundi gumu, safari hii wakiwa D lenye timu za Arsenal,
Borussia Dortmund,
Galatasaray na Anderlecht.
Chelsea wao wako kundi G lenye timu za
Schalke,
Sporting
na Maribor.
Yacheki makundi yote hapo chini:
Kundi A
Atletico Madrid,
Juventus,
Olympiacos na
Malmo
Kundi B
Real Madrid,
Basle,
Liverpool,
Ludogorets
Kundi C
Benfica,
Zenit
St. Petersburg,
Bayer Leverkusen na Monaco
Kundi D
Arsenal,
Borussia Dortmund,
Galatasaray
na Anderlecht
Kundi E
Bayern Munich,
Man City,
CSKA Moscow na
Roma
Kundi F
Barcelona,
PSG,
Ajax,
Apoel
Nicosia
Kundi G
Chelsea,
Schalke,
Sporting
na Maribor
Kundi H
FC Porto,
Shakhtar
Donetsk,
Athletic Bilbao
na BATE