STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Wednesday, January 22, 2014

Breaking News! Mbunge wa Chalinze Bwanamdogo afariki

Mbunge Said Bwanamodogo enzi za uhai wake

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Said Bwanamdogo amefariki akiwa amelezwa kwenye hospitali ya Taasisi ya Mifupa na Fahamu (MOI).
Mbunge huyo aliyeugua ghafla wiki iliyopita alikuwa kwenye wodi maalum (ICU) na MICHARAZO inafuatilia kujua kinachoendelea juu ya msiba huo.