MISS
Tanzania mpya Sitti Abass Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya
kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililoshirikisha
warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Sitti
Mtemvu ametwaa taji hilo lililokuwa likishikiliwa na Happyness
Watimanywa na kuwa mrembo wa 20 tangu shindano hilo liliporejeshwa tena nchini mnamo mwaka 1994 na kutwaliwa na Aina Maeda.
Mrembo
wa Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya
pamoja na Mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa
Tatu, Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye
ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. Sitti Mtemvu alianza kwa
kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni
binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
Redd's Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Happiness Watimanywa akimpisha crown,Redd's Miss Tanzania wa sasa,Sitti Mtemvu.






















HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,


MUIMBAJI mahiri wa muziki wa taarab, Hammer Q ameachiwa wimbo wake binafsi uitwao 'Kibakuli', ambao anajipanga kuutengenezea video yake mapema hivi karibuni.


