MBUNIFU WA MITINDO YA MAVAZI NA BALOZI WA OXFAM TANZANIA -KHADIJA MWANAMBOKA AMEZINDUA PROJECT-VVK-GROW CAMPAIGN PROJECT
HII NI KAMPENI ILIYOBUNIWA NA KUENDESHWA NA BALOZI WA OXFAM KHADIJA
MWANAMBOKA NA IKIWA NA LENGO LA KUAINISHA CHANGAMOTO ZA SOKO KWA
WAKULIMA WA CHAKULA HASA WANAWAKE.KUANIKA DHULUMA WANAYOFANYIWA WAKULIMA
WA CHAKULA WANAWAKE NA KUHAMASISHA WATUMIAJI WA BIDHAA ZA CHAKULA
MIJINI.KUTAMBUA THAMANI YA CHAKULA NA KUWA SOKO LENYE TIJA KWA WAKULIMA
WA CHAKULA HASA WANAWAKE
KAMPENI HII INAHUSISHA WASICHANA"GROW GIRLS" AMBAO NI WANAMITINDO
-MODELS WATAKUWA WANAPITA KWENYE MIKUSANYIKO MBALI MBALI, MAOFISINI NA
KWENYE TAASISI MBALI MBALI KUHAMASISHA NA KUUZA BIDHAA ZA WAKULIMA
WADOGO WANAWAKE.
MWEZI WA NNE MWAKA HUU OXFARM ILIMTAMBULISHA MABALOZI WAKE WAPYA WA KAMPENI YA GROW. MBALI NA KHADIJA MWANAMBOKA WENGINE NI DINA MARIOS, MASOUD KIPANYA, SHAMIM MWASHA, HALIMA MDEE (MB), SHYROSE BHANJI (MB) NA JACOB STEPHEN 'JB'.
AMBAPO KILA BALOZI ATAKUJA NA MRADI WAKE UNAOHUSISHA CHAKULA NA KILIMO NA KHADIJA MWANAMBOKA AKIJA NA MRADI HUO ALIOUTAMBULISHA.
DM
No comments:
Post a Comment