JAMBO LA MUHIMU TUNAWAKUMBUSHA WAUMINI HAO WAISHEREHEKEE SIKUKUU HIYO BILA KUMUASI MUNGU KADHALIKA KUBWA KWA VIONGOZI WA DINI HIYO HASA WA TANZANIA WAMCHE MUNGU NA WAKUMBUKE WAO NI WACHUNGA NA WATAKUJA KUULIZWA KWA KILE WALICHOKICHUNGA.
TUNAMAANISHA WAMCHE MUNGU NA KUFANYA YALE YALIYO KATIKA MUONGOZO WA ALLAH (SW) NA MAFUNDISHO YA MTUME MUHAMMAD (SAW) BADALA YA UTASHI WA NAFSI ZAO NA KUIKUMBATIA DUNIA KIASI CHA KUWAYUMBISHA WAUMINI WAO. KADHALIKA WAUMINI WAKUMBUKE UISLAM NI MWEPESI ILA UNATIWA UGUMU NA WAO WENYEWE KWA KUTOPENDA KUJIFUNZA NA KUISHIA KUBURUZWA.
WASWAHILI WA MSEMO WAO KUWA, KAMA KUSOMA HUJUI BASI HATA PICHA UNASHINDWA KUITAMBUA? ALLAH SW ATUZINDUE...! MAHUJAJI JANA WALIONEKANA 'LIVE" WAKIWA WAMESIMAMA ARAFA JE, FUNGA INAYOFUNGWA LEO NI YA NINI WAKATI MAHUJAJI LEO WANACHINJA?! ALLAH SW ATUPE TAHFIF NA KUTUZINDUA!
No comments:
Post a Comment