|
Dk Rutabazibwa akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Uongozi ya MHCS Ltd, Ndesumbuka Merinyo Cheti cha Hisa katika sherehe hizo zilizofanyika Kibiki-Chalinze mkoani Pwani. |
|
Dk Rutabazibwa akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Uongozi ya MHCS Ltd, Hellen Khamsini Cheti cha Hisa katika hafla hizo za Kibiki-Chalinze. |
|
Dk Rutabazibwa akimabidhi chet cha Hisa mmoja wa wanachama wa MHCS Ltd, Zahir Mshana. |
|
Dk Rutabazibwa akimkabidhi Cheti cha Hisa, Mwanachama wa MHCS Ltd, Mwanahawa Gambo katika sherehe hizo za Kibiki |
|
Mrajisi
wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Dk Audax Rutabazibwa akikata utepe
kuzindua ofisi mpya ya Chjama cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba Mwenge,
zilizopo Kibiki-Chalinze |
|
Baadhi
ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo kutoka kushoto Diwani wa Bwilingu,
Hamad Nassa, DC Ahmed Kipozi, Dk Audax Rutabazibwa aliyekuwa mgeni
rasmi. |
|
Mgeni ramsi akirudisha mkasi baada ya kuzindua ofisi mpya za MHCS Ltd Kibiki-Chalinze |
|
Sehemu ya waliohudhuria sherehe hizo akiwamo mchekeshaji Erick Ivyoivyo |
|
Mchekeshaji Mkono wa Mkonole akiwa na wanachama wa MHCS Ltd kwenye hafla hizo za Kibiki |
|
Mgeni rasmi Dk Audax Rutabazibwa akitoka kwenye jengo la ofisi mpya ya MHCS baada ya kuzifungua rasmi |
|
Viongozi
waalikwa, Dk Rutabazibwa, Dc Kipozi na Diwani Nassa wakipata maelezo
kwa mmoja wa viongozi wa MHCS Ltd baada ya kukagua vyumba vya jengo la
ofisi mpya za MHCS Ltd-Kibiki |
|
Mwenyekiti
wa MHCS Ltd, Jonas Mwangomango (kushoto) pamoja na Mjumbe wa Bodi ya
MHCS, Ndesumbuka Merinyo (rasta) wakiwaongoza viongozi wenzaop kutoka
ndani ya jengo la ofisi yao mpya iliyopo Kibiki-Chalinze mkoani Pwani |
|
Jengo la ofisi mpya ya MHCS Ltd baada ya kuzinduliwa rasmi na aliyekuwa mgeni rasmi Dk Audax Rutabazibwa |
|
Safari ya kwenda kugawa viwanja kwa wanachama ikaanza ikiongozwa na MC Kiswaga |
|
MC
Kiswaga akimtambulisha mmoja wa wanachama aliyekabidhiwa kiwanja,
Seleka Sanga (wa pili kulia) kwa Mgeni Rasmi, Dk Audax Rutabazibwa. |
|
Mwanachama Seleka Sanga (Kushoto aliyeipa kamera mgongo) akikabidhiwa kiwanja chake |
|
Zoezi limemaliza na msafara ukirudi eneo la mkutano kuendelea na mengine |
|
Wanachama Seleka Sanga na Marieta Urassa (wa pili na tatu toka kulia) walipokabidhiwa viwanja vyao |
|
Viwanja mlivyopewa mhakikishe mnaviendeleza au vipi? |
|
Wakati wa Maakuli kila mtu na lunch box yake |
|
Mwili haujengwi kwa matofali na simenti bali msosi wageni wakipata mlo |
|
Mwanachama
Dionis Mushi akihojiwa na wanahabari kuelezea faida alizopata kama
mwanachama wa MHCS Ltd baada ya kupewa kiwanja chake Kibiki |
|
Bi Hellen Mwanachama na Mjumbe wa Bodi ya MHCS Ltd naye akihojiwa kuelezea faida na matarajio yake ndani ya chama chao. |
|
Mwanachama Zahir Mshana baadaya kukabidhiwa kiwanja chake na kuhojiwa alipozi kwa picha ya kumbukumbu |
CHAMA cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba Mwenge (MHCS Ltd) kimewakabidhi baadhi ya wanachama wake Vyeti vya Hisa.
Makabidhiano hayo yalifanyika juzi wakati wa uzinduzi wa ofisi mpya ya chama hicho iliyopo Kibiki-Chalinze, mkoani Pwani ambapo wanachama wanne kati ya 385 walikabidhiwa aliyekuwa mgeni Rasmi Mrajisi wa Vyama vya Ushirika nchini, Dk Audax Rutabazibwa.
Wanachama waliokabidhiwa vueti hivyio vya hisa ni pamoja na wajumbe wawili wa Bodi wa Uongozi wa chama hicho, Ndesumbuka Merinyo na Hellen Khamsini na wanachama wengine wawili, Mwanahawa Gambo na Zahir Mshana.
Pia katika hafla hiyo wanachama wengine wawili, Seleka Mshana na Marieta Urassa kwa niaba ya mumewe walikabidhiwa viwanja vyao kati ya viwanja zaidi ya 300 walivyokabidhiwa wanachama wa MHCS Ltd ikiwa ni mwanzo wa kuanza kwa mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa na bora za wanachama wa chama hicho katika eneo hilo la Kibiki.
Katika hafla hizo zilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kiposi, Diwani wa Bwilingu, Hamad Karama Nassa na viongozi wengine ambapo mgeni huyo kabla ya hapo alizindua ofisi hiyo mpya ya MHCS kwa kukata utepe na kuonyesha ndani kuliko kabla ya baada ya kujumuika na waalikwa eengine kupata chakula cha mchana.
No comments:
Post a Comment