MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA
ILIBIDI makocha Roberto Di Matteo na Sir
Alex Ferguson watenganishwe wakati Manchester United iliposhinda kwa
mara ya kwanza ndani ya miaka 10 katika Ligi Kuu ya England dhidi ya
Chelsea katika mechi iliyotawaliwa na utata.
The Blues walimaliza mechi wakiwa na
wachezaji tisa na wakifungwa kwa bao la ushindi la kuotea kwenye Uwanja
wa Stamford Bridge na kufanya sasa waongoze ligi wakiizidi pointi moja
tu Man United.
TAKWIMU ZA MECHI
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole, Mikel, Ramires, Hazard (Sturridge 82), Oscar(Azpilicueta 66), Mata (Bertrand 72), Torres.
BENCHI: Turnbull, Romeu, Moses, Marin.
KADI: NJANO Torres, Mikel. NYEKUNDU: Ivanovic, Torres.
WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Mata 44, Ramires 53.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley(Hernandez 65), Young, Rooney (Giggs 74), van Persie.
BENCHI: Lindegaard, Anderson, Nani, Welbeck, Scholes.
NJANO: Rooney.
WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Luiz (OG) 4, Van Persie 12, Hernandez 75.
MASHABIKI WALIOHUDHURIA: 41,644
REFA: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)
Hernandez akishangilia bao la ushindi la kuotea aliloifungia Man United
Hernandez akishangilia bao lake alilofunga dakika ya 75
Torres akichukua pasi mbele ya Jonny Evans...
... Anaenda chini Torres
... Anapigwa njano ya pili na kuwa nyekundu, akidaiwa kujiangusha na refa Mark Clattenburg
Spat: Ferguson na Di Matteo wakigombana karibu na mstari wa Uwanja dakika 70 Stamford Bridge
Van Persie akipongezwa baada ya kuifungia Manchester United bao la pili
Nyota wa Chelsea, Mata akifunga kwa mpira wa adhabu
Ramires akiisawazishia kwa kichwa Chelsea dakika ya 53
Ivanovic was alipewa kadi nyekundu baada ya kumuangusha Ashley Young
Ivanovic akionyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Ashley Young
No comments:
Post a Comment