Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) ndiye aliye fanya ufunguzi wa biashara mpya ya msanii Izzo B "INTERNETE CAFE"
iliyoko katika chuo cha Teku jijini Mbeya.
Huu utakua ni uwekezaji wa pili wa msanii Izzo B baada ya kufungua duka
la nguo hapo mjini mbeya ambapo ndipo anapotoka.
No comments:
Post a Comment