Kocha
Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh (Pichani kushoto) ambaye
amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anasubiri vipimo vya mwisho
ili aweze kuanza matibabu.
Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtoa kocha huyo nyumbani kwake
jijini Mwanza na kumleta Dar es Salaam kwa lengo la kuhakikisha anapata
matibabu zaidi na kwa uangalizi wa karibu.
No comments:
Post a Comment