Bondia
Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis
Miyeyusho utakaofanyika leo Uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia
Epson John wa Morogoro (kushoto) akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu Antony
Rutta
Bondia Cosmas Cheka (kushoto)
akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima
uzito kwa ajili ya pambano lao la ubingwa wa U.B.O Afrika
utakaofanyika leo Uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Ibrahim Class akipima uzito kwa ajili ya pambano la UBO Afrika litakalofanyika leo
Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito
Bondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana misuli na
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao
wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika leo kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa
jijini Dar es Salaam
BONDIA
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' amejigamba kumpiga bondia Cosmas Cheka kwenye
pambano lao la raundi kumi kugombania ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika leo
katika Uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ibrahim aliyasema
hayo wakati wakipima uzito na afya kwa ajili ya maandalizi ya pambano hilo
ambalo limevuta hisia za mashabiki wa ndondi kutokana na ubora wa mabondia
wote.
“Namfahamu
vizuri Cheka ila nitahakikisha nampiga mapema ili kuhakikishia mashabiki kuwa mimi
ni bora kuliko yeye”, alijigamba Ibrahim
Pambano huo
utatanguliwa na ngumi kali kutoka kwa bondia Fransic Miyeyusho atakayepigana na
Fadhili Majiha pambano la raundi nane.
Pia
kutakuwepo na pambano lingine la ubingwa kati ya Alibaba Ramadhani na Jacobo
Maganga ambalo litasindikizwa na mapambano makali ya bondia chipukizi, Vicent
Mbilinyi ambaye ataoneshana umwamba na Epson John wa Morogoro.
Naye Shomari Milundi atapambana na Mwinyi
Mzengela huku Husein Mbonde atakabiliana na Shedrack Ignas na bondia Said Mundi
wa Tanga atapambana na Ramadhani Shauri
pia kutakuwepo mapambano mengine mbalimbali kuhakikisha pambano huo
unakuwa wa kihistoria na kuacha gumzo.
Pambano hili
linasimamiwa na P.S.T chini ya rais wake Emanuel Mlundwa na mashabiki
wamehakikishiwa usalama wa mali zao kwani kutakuwa na ulinzi wa kutosha.
Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika leo Uwanja wa ndani wa Taifa |
Bondia Epson John wa Morogoro (kushoto) akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu Antony Rutta |
Bondia Ibrahim Class akipima uzito kwa ajili ya pambano la UBO Afrika litakalofanyika leo |
Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito |
Bondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika leo kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam |
Mabondia Mwinyi Mzengela (kushoto) na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano utakaofanyika leo Uwanja wa ndani wa Taifa |
Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika leo Uwanja wa ndani wa Taifa |
Bondia Epson John wa Morogoro (kushoto) akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu Antony Rutta |
Bondia Ibrahim Class akipima uzito kwa ajili ya pambano la UBO Afrika litakalofanyika leo |
Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito |
Bondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika leo kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment