|
Kotei akithibitiwa na mabeki wa Azam wakiongozwa na Gadiel Michael (2) |
|
Mashabiki wa Azam |
DAKIKA 45 za kwanza za fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, ni mapumziko wakati Azam ikiwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Simba. Kwa wastani pambano lilikuwa fifte fifte, licha ya Azam kukosa bao la pili baada ya kichwa cha Bocco kushindwa kuingia kimiani dakika moja kabla ya mapumziko.
No comments:
Post a Comment