STRIKA
USILIKOSE
Friday, February 7, 2014
Hawa ni baadhi ya wabunge wa Bunge la Katiba
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Dk Florence Turuka ametangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam.
Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka jana.
Chini ni baadhi ya wabunge hao waliotangazwa
Dr Christina tina Mzava, Paul Makonda, Jesca Mtavasavangu, Julius Mtatiro, Abdallah Bulembo, Panzi, Dk Zainab Gama, Paulinus Mtenda, Almas Maige, Pamela Masae, Kajubi Mukajanga, Kadari Singo, Yusuph Omar Chunda, Fatma Musa, Profesa Abdul Sherif, Rehema Said Shamte.
Asha Mtwangi, Paul kimiti, Elizabeth Minde, Evod Mmanda, Mary Dafa, Kingunge Ngombale Mwiru, Maria Sarungi na Valerie Msoka, Sixtus Mapunda, Happiness Msengi, Godfrey Simbeye, Shamsa Mwangunga.
Wengine ni;
Wajumbe Vyama vya siasa
Hashim Rungwe, Rashid Mtuta, Yusuph Mwanyanga, Mchungaji Mtikila, Bertha Mpata, Dominic Nyachae, Mbwana Kibanda, Peter Mziray, Isack Cheyo, Emmanuel Makaidi, Prof Ibrahim Lipumba, Modesta Ponera, Profesa Abdallah Safari, Salum Selemani, James Mapalala, Mary Mpangala, Nancy Mrikarya, Nazael Tenga, Fahmi Dovutwa, Costantine Akitanda, John Chipaka, Rashid Lae, Hashim Rungwe,
Rashid Mtuta,
Taasisi za Elimu;
Dk Suzan Kolimba, Prof Esta Mwaikambo, Dk Natujwa Mvungi, Dk Domitila Bashemela, Prof Bernadeta Killian, Tedy Patrick, Prof Tulia Akson, Hamza Mustafa Njozi, Makame Omar Makame, Dk Alei Nasor, Leila Ally, Zeyana Hajji
Vyama vya wafugaji
William Ole Nashi, Mabada Matagu, Dorin Maro, Hamis Mlondwa, Esta Chuma, Said Abdala Bakari, Zuberi Khan
Wavuvi
Hawa Mchafu, Rebeca Masato, Tomas Minyaro, Teddy Malulu, Omary Hussein.
Mengine yatawajia baadaye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment