MUIMBAJI nyota wa zamani wa bendi za Africans Stars, Extra Bongo na
Double Extra, Khadija Kimobitel pamoja na wenzake wawili wanaounda kundi
la Ndege wa3 wameachia wimbo wao mpya uitwao 'Misukosuko' walioimba kwa
kumshirikisha Grayson Semsekwa.
Tayari wimbop huo imeshatolewa video na inapatika kwenye mtandao wa youtube.http://www.youtube.com/watch?v=vpyzUfpKtXE
Tayari wimbop huo imeshatolewa video na inapatika kwenye mtandao wa youtube.http://www.youtube.com/watch?v=vpyzUfpKtXE
Kutoka
kushoto ni Paulyne Zongo, Khadija Mnoga (Kimobitel) na
Joan Matovolwa.Wanamuziki hao watatu na wakongwe nchini ndio wanaounda
kundi hilo linalojulikana kwa jina la NDEGE 3
No comments:
Post a Comment