TAMASHA kubwa la filamu ambalo ufanyika kila mwaka la
European Film Festival (EFF2013) lipo tayari kwa mwaka huu na litaanza rasmi
tarehe 22 November 2013 kwa kuonyeshwa filamu mbalimbali katika vituo
vilivyopangwa ambazo ni Alliance Francaise, Mlimani City Century Cinemax,
Goethe-Institut na Nafasi ArtSpace filamu zitaonyeshwa kwa siku tatu tarehe 22,
23 na 24 November 2013.
Tamasha la hili limekusudia kuinua tasnia ya filamu
ya Tanzania katika kujifunza utamaduni kutoka Ulaya katika njia ya filamu
katika kuimalisha na kukuza utamaduni wan chi husika hivyo ni njia nzuri kwa
watengeneza filamu wa Swahiliwood kushiriki katika kujifunza zaidi utengenezaji
bora wa filamu.
RATIBA KAMILI YA TAMASHA HILO |
No comments:
Post a Comment