Bondia Shabani Kaoneka kushoto na Said Mbelwa kulia wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito katikati ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' |
Bondia Said Mbelwa akipima uzito kushoto
ni mpinzani wake Shabani Kaoneka na kulia ni mratibu wa mpambano huo
Rajabu Mhamila Super D' mpambano utakaofanyika Jumapili ya Novemba 10
katika ukumbi wa Zulu Paradise Pugu Kilumba
Bondia Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mpambano huo kushoto ni mpinzani wake said Mbelwa na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' |
No comments:
Post a Comment