Mary na warembo wenzake wakishangilia ushindi huo.Mary
Chrisostom Rutta, kutoka Mkoa wa Manyara (katikati) akifurahi baada ya
kutangazwa mshindi. Kushoto ni Jamia Abdul (Kagera) na Joan John kutoka
Lindi ambao waliingia tatu bora.
Warembo wakionesha vipaji kwa kucheza ngoma za asili.
Wakionesha vazi la ubunifu.
Msanii wa ngoma za asili kutoka Bagamoyo, Chemundu Gwao, akicheza na warembo hao.
Ilikuwa ni shangwe na furaha tupu kwa washiriki na ubunifu wao.
Mwakilishi wa Kagera, Jamia Abdul, akicheza ngoma ya Kihaya.
Mikogo pia ilipewa nafasi yake mbele ya meza kuu.
Rais
wa Miss Utalii Tanzania na Jaji Mkuu wa kinyang’anyiro hicho, Gideon
Chipungahero ‘Chipss’ (kulia) na majaji wenzake wakikusanya pointi.
Meya wa Manispaa ya Temeke, Maabad Hoja, akimvisha Sasha mrembo huyo baada ya kutangazwa mshindi.
DJ Max (kulia) na Mc Adria Cleophace walifanya kazi kubwa ya kunogesha tukio hilo.MREMBO
Mary Rutta kutoka Mkoa wa Manyara jana usiku aliwabwaga warembo wenzake
26 katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Miss Utalii mwenye
kipaji. Kinyang’anyiro hicho kilifanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa
Dar Live.(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
No comments:
Post a Comment