STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Tuesday, November 4, 2014

Sheikh Ponda bado sana, rufaa yake yatupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Sheikh Ponda alikata rufaa kupitia wakili wake Juma Nassoro kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. 
Kesi nyingine inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambayo inasikilizwa na Jaji Augustine Shangwa imeahirishwa hadi Novemba 20, mwaka huu.