![]() |
| Yaya Toure akitumbukiza penati yake wavuni kuibeba Manchester City dhidi ya Everton |
Toure alifunga bao hilo katika dakika ya 24 baada ya Phil Jagielka kumchezea rafu James Milner na yeye kutofanya ajizi kuukwamisha mpira kimiani na kuifanya City ambao ni mabingwa watetezi kufikisha pointi 33 na kung'ang'ania nafasi ya pili nyuma ya Chelsea ambayo mapema leo mchana ilikubali kipigio cha mabao 2-1 toka kwa wenyeji wao Newcastle United na kusitishiwa mfululizo wake wa ushindi katika msimu huu.
Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea siku ya Jumatatu kwa pambano moja tu litakaloikutanisha Southmapton dhidi ya Mashetani Wekundu, Manchester United.




KLABU ya Al Ahly ya Misri imeweka rekodi ya aina yake baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuicharaza Sewe Sports ya Ivory Coast bao 1-0 katikka mchezo wa pili wqa fainali za michuano hiyo.
MSHAMBULIAJI Zlatan Ibrahimovic amerejea dimbani kwa kishindo baada ya kuiongoza timu yake ya PSG kupata ushindi nyumbani wa mabao 2-1 dhidi ya Nates.
KLABU ya Atletico Madrid imewapumulia wapinzani wao wa jadi, Real Madrid baada ya jioni ya leo kupata ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Elche.
KOCHA na nyota wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah ‘King’ Kibadeni amezushiwa kifo na
kusababisha utata mkubwa.