STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Friday, February 20, 2015

Yamoto Band watua UK tayari kwa shoo wa kesho


Kikosi kizima cha Yamoto Band ndani ya jiji la London tayari kwa makamuzi ya jumamosi hii ndani ya ukumbi wa Royal Regency Monor Park London

Yamoto Band Touchdown London this morning., safe and sound.Now let's Get it...Let's Goooo. ..Made in East Africa 2015 ,Yamoto band Live in London Royal Regency Banquite .Wakijiachia na mmoja wa mabosi wakeEnock Bella akiosha maji

No comments:

Post a Comment