Floyd Mayweather Jr akata ngebe za Robert “The Ghost” Guerrero
![]() |
Bondia Floyd Mayweather Jr kushoto akimrushia ngumi mfululizo Robert “The Ghost” Guerrero wakati wa mpambano wao uliofanyika alfajiri ya leo |
![]() |
Bondia Robert “The Ghost” Guerreroakiwa chini baada ya kupata konde zito kutoka kwa Floyd Mayweather Jr wakati wa mbambano wao uliofanyika alfajiri ya leo maywether alishinda mpambano uho kwa point |
![]() |
Bondia Floyd Mayweather Jr kushotoakioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Robert “The Ghost” Guerrero wakati wa mpambano wao maywether alishinda kwa point |
No comments:
Post a Comment