![]() |
Wachezaji wa Golden Bush na Chuo Kikuu wakiwania mpira hewani |
![]() |
Kudra Omar akizidhibitiwa na beki wa Chuo Kikuu Veterani |
![]() |
Kudra Omar 13, akitafuta mbinu za kumtoka Ernest |
![]() |
Nasema faulo, jipangeni pale:Refa akiwaelekeza wachezaji wa Chuo kujipanga ilia Golden Bush wapige faulo |
![]() |
Heka heka langoni mwa Chuo Kikuu veterani |
![]() |
Mchesaji wa Golden Bush akiwa chini baada ya kuumia |
![]() |
Salum Swedi 'Kussi' akionyesha kiwango uwanjani |
![]() |
Mshikemshike dimbani |
![]() |
Kipa Amani Simba akiwapanga mabeki wake wakati wa kupigwa faulo langoni mwake. |
![]() |
John Mwansasu na Wazir Mahadh 'Mandieta' wao walikuwa mashuhuda tu kwa leo |
![]() |
Hawa Madogo wanakaza niingie nini? |
![]() |
Kudra Omar na salum Athuman wakiwa kwenye mapumziko |
![]() |
Amani Simba, Onesmo Wazir 'Ticotico' na Salum Swedi 'Kussi' wakiwa kwenyue mapumziko |
![]() |
Hoi mapumziko hata kama tunaongoza 2-1 |
![]() |
Kocha Madaraka Seleman 'Mzee wa Kiminyio' akiwapa nasaha wachezaji wake wa Golden Bush |
![]() |
Mmecheza vyema, lakini mabao hawatoshi; kocha msaidizi, Herry Morris akiwapwa nasaha wachezaji wake |
![]() |
Mmekosaje bao pale nyie...enzi zangu yule kipa angekuwa analilia atolewe nje kuepuka kapu la mabao |
![]() |
Jamani jahazi linazama nyumbani inajuwake sasa? |
![]() |
Benchi la ufundi la Chuo Kikuu veterani hawaamini kinachowakuta |
![]() |
Wachezaji wa Golden Bush wanamchezea rafu mchezaji wa Chuo Kikuu |
![]() |
Aaaghhh! Shija Katina akiugulia maumivu |
![]() |
Utanijua kwa nini naitwa 'Mbududu' |
No comments:
Post a Comment