STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Thursday, February 6, 2014

Rais Kikwete ahutubia mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi  wa vyama mbalimbali vya siasa na maafisa wa serikali wakitoka kupata chakula cha mchana baada ya kufungua  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad  katika picha ya pamoja na wenyeviti wa vyama vya siasa baada ya kufungua  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad  katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa baada ya kufungua  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
  Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
 Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa katika mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Picha na Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment