STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, August 4, 2014

Cheki picha za ajali ya basi la iliyoua watu Arusha Muonekano wa basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo.


 Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha.


 Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo, wengi wajeruhiwa.

No comments:

Post a Comment