POLISI nchini Africa Kusini
wameonesha nyuso zinazo dhaniwa kuwa ni wauaji wa golikipa na kapteni wa
timu ya taifa Africa Kusini Bafana Bafana, Senzo Meyiwa.Kifo cha mwanasoka huyo kimeonesha picha halisi ya kiwango cha uhalifu na matumizi mabaya ya silaha nchini Africa Kusini.
Africa kusini inatajwa kuwa moja ya nchi zenye matukio makubwa ya uhali,na kiwango cha uhalifu kinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Mwanzoni mwa mwezi huu mwanariadha Oscar Pistorious alihukumiwa miaka mitano jela kwa kosa la kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake.
BBC
No comments:
Post a Comment