STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Thursday, November 29, 2012

MAZISHI YA SHARO MILIONEA YALIYOFANYIKA JANA KATIKA PICHA

Twende huku mzee...! Msanii wa vichekesho ambaye ni mshirika wa karibu wa marehemu Sharomilionea, King Majuto (kushoto) akiongozwa na muigizaji JB wakati wa shughuli za mazishi ya Sharomilionea  jana mchana kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.

Jeneza la marehemu Sharomilionea kabla ya kupelekwa makaburini na mwili wa marehemu kuzikwa kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga jana Novemba 28, 2012.
 
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya sala ya jeneza la marehemu Sharomilionea katika kijiji chao cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga jana Novemba 28, 2012.
 
Mwili wa marehemu Sharomilionea ukiswaliwa kabla ya kuzikwa jana mchana (Novemba 28, 2012) kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.
Baadhi ya waombol;ezaji waliojitokeza kumzika Sharo Milionea kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Sharomilionea
Ni majonzi tupu... baadhi ya waombolezaji katika mazishi ya Sharomilionea

Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa wenye majonzi tele wakati wa mazishi ya Sharomilionea kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga

Mama wa marehemu Sharomilionea (kulia) akilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya mwanawe 


Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mazishi ya Sharomilionea katika Kijiji cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga

Sharomilionea (kulia) enzi za uhai wake akiwa jukwaani na King Majuto. 
(Picha nne za juu kwa hisani ya Globalpublishers.com na nyingine Straika mkali)

No comments:

Post a Comment