STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, March 25, 2013

Kajala ahukumiwa, Wema amuokoa asiende jela bila kuamini

MSANII nyota wa filamu nchini, Kajala Masanja amekutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela auy kulipa faini ya Sh Milioni 13 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
Hata hivyo msanii huyo alinusurika kwenda jela baada ya muigizaji mwenzake, Wema Sepetu kumlipia faini na kuachiwa huru baada ya msoto mnene tangu kesi iliyokuwa inamkabili yeye na mumewe, kuanza kusikizwa mahakamani hapo tangu mwaka jana.
Kajala na mumewe walikuwa wakikabiliwa na tuhuma za utakatishaji wa fedha, ambapo ilikuwa ikinguruma mahakamani hapo na hukumu yake kusoma leo.
Kajala akilia akiwa na Lulu wakati akihojiwa na wanahabari

Kajala akkifarijiwa na mama yake mzazi baada ya kuachiwa mahakamani leo
Kajala wakati akisindikizwa kuingia mahakamani kabla ya kusomwa hukumu dhidi yake

Kajala akiliwazwa na Wema Sepetu

Sasa upo Huru! Kajala akiwa haamini kama anarejea tena uswahilini

Kajala akipanda karandiga baada ya kuhukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka mitano kabla ya baadaye kulipiwa faini na kuachiwa huru

No comments:

Post a Comment