| Kikosi cha Golden Bush kilichoitambia Wahen ga Fc jana jijini Dar es Salaam |
| Kikosi cha Wahenga Fc kilichoendeleza uteja kwa Golden Bush jana |
![]() |
| Mchezaji wa Wahenga akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Golden Bush |
| Abuu Ntiro akiwahi pasi ya Athuman Machuppa huku Yusuf (9) wa Wahenga akiwanyemelea |
| HATARI! Lango la Wahenga Fc likiwa kwenye msukosuko |
| Ntiro akiwa akitafuta mbinu za kumnyanganya mpira Yusuf wa Wahenga madhara |
| Kama zamani Ntiro akitiririka pembeni kuelekea lango wa Wahenga, huku Kisiga akiwa tayari kumpa msaada |
| Steven Marash na Wisdom Ndlovu wakiuza sura kabla ya kuanza kwa pambano la jana |
| Athuman Machuppa akiwania mpira na Wanchope wa Wahenga Fc |
| Machuppa (11) wa Golden Bush akiwania mpira wa Hamza (13) na Mcaremoon wa Wahenga katika pambano lao la jana |
| Wakati wa mapumziko mashabiki waq Wahenga wakifyeka nyasi ili kuwapa nafasi wachezaji wafanye vitu vyao na kuwarahishia Golden Bush kupata ushindi wa mabao 2-1 |
| Wachezaji wa Golden Bush wakipasha kabla ya pambano hilo |
| Shaaban Kisiga akiwatoka wachezaji wa Wahenga |
| Macocha Tembele akiwafungisha tela Athuman Machupa na Godfrey Bonny, huku Kapeta akiwa tayari kumsaidia |
| HAPA HUPITI: Ni kama Ntiro (12) wa Golden Bush akimwambia Yusuf (9) wa Wahenga |
| Kikosi cha Golden Bush Veterani kabla ya kuivaa Wahenga FC |

No comments:
Post a Comment