Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania
Top Model 2013, Narietha Boniface katika picha ya kwanza hapo chini
akiwa amepozi mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa
pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya
kuwashinda warembo wenzake 29. Shindano la Miss Tanzania Top Mode
lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na kuwashirikisha warembo
30.

Warembo walipo jinadi kwa pozi kali na
miondoko ya kufa mtu katika kuwania taji hilo la Redd's Miss Tanzania
Top Model 2013 ndani ya Snow View Hotel Arusha.
Emma Mroso kutoka JAZZ Collection ya jijini Arusha akipozi na warembo waliovaa mavazi kutoka kampuni hiyo.
Wadau mbalimbali wakifuatilia shindano hilo.
No comments:
Post a Comment