STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, December 16, 2013

Arsenal kuivaa Bavarian, City vs Barca Mtoano Ligi Ulaya


RATIBA ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya imetoka ambapo Arsenal wametupiwa kuanzia nyumbaji dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich ya Ujerumani, huku Manchester City wakipewa Barcelona.
Kwa mujibu wa tariba hiyo, Schalke 04 wenyewe wamepangwa kuikaribisha Real Madrid nyumbani katika mechi ya awali kabla ya kurudiana ugenini kuwania kutinga robo fainali ya ligi hiyo ya mabingwa Ulaya.
Ratiba kamili inaoonyesha Manchester United ikipangiwa mchekea sawa na ilivuo kwa Borussia Dotmund ambao waliicheza fainali za mwaka jana na kunyukwa na Baravian.
Ratiba yenyewe ndiyo hii:
Manchester City Vs Barcelona
Olympiakos Vs Manchester United
AC Milan Vs Atletico Madrid
Bayer Leverkusen Vs Paris Saint-Germain
Galatasaray Vs Chelsea
Schalke 04 Vs Real Madrid
Zenit St. Petersburg Vs Borussia Dortmund
Arsenal Vs Bayern Munich

mechi za awali zitachezwa kuanzia  Februari 18 na Machi 10 kujua zitakazoingia Robo Fainali.

No comments:

Post a Comment