STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Wednesday, August 28, 2013

Mmarekani, Cheka kupima uzito kesho kuvaana Ijumaa Diamond Jubilee

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30 siku ya ijumaa hii  katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es salaam.
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kumlaki uwanja wa ndege baada ya kutua jana usiku.
Mdau wa michezo nchini Saidi kindeka kushoto akiwa na Bondia Phil Williams wa Marekani
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kumlaki uwanja wa ndege baada ya kutua jana usiku.

Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams katika pozi
Mabondia Phil Williams wa Marekani na Francis Cheka wanatarajiwa kupima uzito na afya zao kesho kabla ya kuvaana katika pambano la kuwania ubingwa wa WBF siku ya Ijumaa jijini Dar es salaam.
   
No comments:

Post a Comment