HALI HALISI ILIVYO NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI


Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani.
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki',
Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia jana asubuhi
akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
(PICHA NA HAMIDA HASSAN / GPL)
No comments:
Post a Comment