STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Thursday, November 28, 2013

Maafa! Uwanja wa kuchezwa WC 2014 waporomoka na kuua Brazil


Uwanja umeanguka mjini Sao Paulo, Brazil baada ya winchi lililokuwa linatumika kujenga kuuangukia na kusababisha vifo vya watu wawili.

Uwanja huo ni sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia lililopangwa kufanyika nchini humo mwakani.

Uwanja huo uliopewa jina la Corinthians Arena pia umejeruhi baadhi ya mafundi waliokuwa katika eneo la tukio.
Awali ilielezwa, huenda watu wengi zaidi wangeumia lakini bahati nzuri wakati winchi la kubeba vitu vizito likianguka, wengi walikuwa mapumziko kikazi kwa kuwa ilikuwa ni wakati wa chakula cha mchana.

No comments:

Post a Comment