STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, December 2, 2013

Chelsea yaendeleza mauaji England


CHELSEA imeendelea kugawa dozi kwa wapinzani wake katika Ligi Kuu ya England baada ya usiku wa jana kuinyoa Southampton anayochezea Mkenya, Victor Wanyama kwa kuilaza mabao 3-1. 
Chelsea ilitanguliwa kufungwa na wapinzani wao kabla ya kuamka na kurejesha mabao hayo na kuzidi kuikaribia Arsenal iliyopo kileleni ambayo msimu huu imekuwa moto wa kuotea mbali.  
Mabao yalifungwa na Cahil, John Terry na Demba Ba yalitosha kumfanya kocha Jose Mourinho kupata furaha.
Kutokana na ushindi huo Chelsea imekwea nafasi ya pili ikiipita Liverpool iliyoangushiwa kipigo jana chja mabao 3-1 toka kwaHull CityNo comments:

Post a Comment