Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akimwadhibu Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika jana krismasi kugombea pikipiki. Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo.
Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akionyeshana kazi na Nassibu Ramadhani katika pambano lao lililofanyika ukumbi wa Friends Corner na Matumla kushinda kwa pointi
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akipambana na Mariam Abdallah wakati wa mpambano wao wa kusherehekea sikukuu ya krismas. Lulue alishinda kwa KO

Lulu akitangazwa mshindi na mwamuizil
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akipambana na Mariam Abdallah wakati wa mpambano wao wa kusherehekea sikukuu ya krismasi.
Bondia Hamis Ajari (kushoto) akipambana na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jana na  Cheka kushinda kwa pointi

Bondia Sadiq Abdulazizi (kushoto) akichapana makonde na Juma Fundi wakati wa pambano baina yao ambapo Fundi alishinda kwa pointi
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria mapambano ya ngumi yaliyochezwa jana kwenye ukumbi wa Friends Corner.