SERENGETI BOYS ILIVYOINYOA KONGO JANA KATIKA PICHA
![]() |
Bao pekee leo |
![]() |
Kipa wa Kongo akining'inia kwenye milingoti ya lango baada ya kuukosa mpira uliopaa juu ya lango lake |
![]() |
Mchezaji wa Serengeti, Suleiman Hamisi Bofu akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Kongo, Ondongo Boungena |
![]() |
Beki Okombi Francis wa Kongo akiokoa mbele ya Joseph Kimwaga |
![]() |
Wachezaji wa Kongo wakimdhibiti mchezaji wa Serengeti |
![]() |
Hussein Twaha 'Messi' akiwafunga tela wachezaji wa Kongo |
![]() |
Makocha wa Serengeti Jacob Michelsen na Msaidizi wake Jamhuri Kihwelo wakiwapa maelekezo vijana wao wakati mpira uliposimama kwa muda |
![]() |
Kipa wa Serengeti Boys, Peter Manyika akiruka hewani kupangua mchomo mkali ulioelekezwa langoni mwake |
![]() |
Kipa wa Kongo, akimdondokea kiungo wa Serengeti, Farid Mussa Shah kudaka mpira, huku beki wake, Ondongo Boungena akiwa tayari kumsaidia |
![]() |
Farid kulia na Ondongo kushoto |
![]() |
Kikosi cha vijeba wa Kongo Brazzaville |
![]() |
Beki Ismail Adam Gambo wa Serengeti akimdhibiti Ibara Vinny wa Kongo Brazzazille |
![]() |
Hussein Twaha akiwatoka wachezaji wa Kongo |
![]() |
Serengeti wakishangilia bao lao kwa staili ya aina yake |
![]() |
11 wa kwanza wa Serengeti leo |
![]() |
Wachezaji wa Serengeti Boys wakiimba wimbo wa taifa |
![]() |
Benchi la Ufundi la Serengeti Boys wakati wa wimbo wa taifa |
![]() |
Hussein Twaha akipasua katikati ya msitu wa wachezaji wa Kongo |
![]() |
Hussein Twaha akimiliki mpira mbele ya beki wa Kongo |
![]() |
Joseph Kimwaga akimtoka beki wa Kongo Brazzaville |
![]() |
Beki wa Kongo Okombi Francis baada ya kumpitia kwanja Tumaini Baraka Mosha wa Serengeti |
![]() |
Mudathir akiondoka na mpira |
![]() |
Tumaini Baraka Mosha akimtoka Okombi |
![]() |
Kushoto refa anasema twende, huku Tumaini Baraka Mosha akiwania mpira dhidi ya Ondongo |
No comments:
Post a Comment