STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, July 28, 2013

Aisha Sururu awapiga tafu wasomi wa Qur'an

Wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es salaam ambao wameweka kambi ya kujisomea katika Msikiti wa Idrisa Kariakoo Dar es salaam wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Foundition, Aisha Sululu kulia baada ya kuwakabizi magodoro na mashuka kwa ajili ya kulalia wawapo katika masomo yao ya ziada

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.

No comments:

Post a Comment