![]() |
| Wachezaji wa Stars wamekiwa wamepozi kusubiri safari ya kuja Dar wakitokea Kilimanjaro walipotua |
![]() |
| Kocha Kim Poulsen na tabasamu la uchungu |
![]() |
| Makocha Stars |
![]() | |
| Mfungaji wa bao pekee la Stars dhidi ya Uganda, Amri Kiemba na wenzake katika pozi. |
![]() |
| Ngassa akiwa mbele ya wenzake |
![]() |
| Wakipanda gari toka uwanjani |
![]() |
| We mbona hupigi debe? Kama wanataniana wachezaji wa Stars (picha kwa hisani na Michuzi Blog) |
![]() |
| Mwili haujengwi kwa mawe au matofali bali msosi kama hivi! |














No comments:
Post a Comment