WASOMAJI WETU WAPENDWA AMBAO MMEINGIA KWENYE MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI, TUNAWATAKIA KILA LA HERI NA MFUNGO MWEMA TUKIWAOMBEA KWA ALLAH SUBHANNA WATAALA AWASAIDIE MTEKELEZE KWA SHUFAA NA UTIIFU IBADA HIYO SAMBAMBA NA KUWAKUMBUKA WOTE WENYE MATATIZO NA INSHALLAH TUWE NI WENYE KUFUZU MWISHOWE. RAMADHANI KAREEM |
No comments:
Post a Comment