| DC wa Ilala, Raymond Mushi akikabidhi mfano wa hundi kwa washindi |
| Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa wakionyesha manjonjo yao |
| Chaz Baba akiimba sambamba na Diwani Bonnah Kaluwa |
| DC Mushi, akikabidhi washindi mfano wa hundi |
| Weweeeeee! Diwani Bonnah Kaluwa akishangiliwa wakati akiserebuka Kibega cha Mashujaa |
| Chaz Baba akiwaongoza wanamashujaa |
| Aah Kibega....aah Kibega...Diwani akifanya vitu vyake mbele ya muimbaji Chaz Baba |
No comments:
Post a Comment