STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, January 6, 2014

Ngoma bado! Hukumuya Zitto Kabwe keshoMbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho saa nane mchana!
GPL

No comments:

Post a Comment