

Watetezi hao wametwaa taji hilo la 23 wakiwa wameshinda mechi 10 mfululizo na pia wakiwa wamecheza mechi 52 ya mashindano yote bila kupoteza.
Mabo ya washindi katika pambano hilo lililochezwa mjini Berlin, yalifungwa na Toni Kroos, Mario Goetze na Frank Ribery na kuifanya Bavarians kunyakua taji hilo ikiwa na mechi saba mkononi kabla ya kumaliza msimu wa Bundesliga.
No comments:
Post a Comment