van Persie |
Benzema |
Valencia |
Robben |
Muiller |
WAKATI ngwe ya mwisho ya mechi za raundi za pili zikitarajiwa kufikia tamati leo kwa mechi za Kundi F na H, mpaka sasa jumla ya mabao 76 yamefungwa kwenye Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Brazili.
Idadi hiyo imefika baada ya mechi za jana kushuhudia mabao sita yakifungwa katika mechi za kundi G na F ambapo Argentina ya Lionel Messi iliifunga Iran bao 1-0, Ghana na Ujerumani kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 na Nigeria kuizodoa Bosnia ya Edin Dzeko kwa bao 1-0.
Mpaka sasa nyota kadhaa wanafukuzana kwenye mbio za kuwania kiatu cha Dhahabu wakiongoza wakiwa na mabao matatu kila mmoja na wengine wakifuata wakiwa na magoli mawili mawili.
Wachezaji wanaoongoza katika orodha hiyo ni Karim. Benzemawa Ufaransa, Thomas Mueller wa Ujerumani, Enner Valencia wa Ecuador na Arjen Robben na Robin van Persie wote wa Uholanzi.
Wachezaji wenye mabao mawili kila mmoja mpaka sasa ni pamoja na Tim Cahill wa Australia, Neymar wa Brazili, Gervinho wa Ivory Coast, Lionel Messi wa Argentina, James Rodriguez wa Colombia, Luis Suarez wa Uruguay na Mario Mandzukic wa Croatia, wakifuatiwa na utitiri wa waliofunga bao moja moja.
Orodha kamili ya wafungaji;
3-Karim. Benzema- France
Thomas Mueller-Germany
Arjen Robben-Netherlands
Enner Valencia-Ecuador
Robin van Persie-Netherlands
2-Tim Cahill-Australia
Neymar- Brazil
Gervinho-Côte d'Ivoire
Mario Mandžukić-Croatia
Lionel Messi-Argentina
James Rodríguez-Colombia
Luis Suárez-Uruguay
Msimamo wa makundi:
Kundi A
P W D L F A PTS
Brazil 2 1 1 0 3 1 4
Mexico 2 1 1 0 1 0 4
Croatia 2 1 0 1 5 3 3
Cameroon 2 0 0 2 0 5 0
Kundi B
P W D L F A PTS
Uholanzi 2 2 0 0 8 3 6
Chile 2 2 0 0 5 1 6
Australia 2 0 0 2 3 6 0
Hispania 2 0 0 2 1 7 0
Kundi C
P W D L F A PTS
Colombia 2 2 0 0 5 1 6
Ivory Coast 2 1 0 1 3 3 3
Japan 2 0 1 1 1 2 1
Ugiriki 2 0 1 1 0 3 1
Kundi D
P W D L F A PTS
Costa Rica 2 2 0 0 4 1 6
Italia 2 1 0 1 2 2 3
Uruguay 2 1 0 1 3 4 3
England 2 0 0 2 2 4 0
Kundi E
P W D L F A PTS
Ufaransa 2 2 0 0 8 2 6
Ecuador 2 1 0 1 3 3 3
Uswisi 2 1 0 1 4 6 3
Honduras 2 0 0 2 1 5 0
Kundi F
P W D L F A PTS
Argentina 2 2 0 0 3 1 6
Nigeria 2 1 1 0 1 0 4
Iran 2 0 1 1 0 1 1
Bosnia-Herze. 2 0 0 2 1 3 0
Kundi G
P W D L F A PTS
Ujeruman 2 1 1 0 6 2 4
Marekani 1 1 0 0 2 1 3
Ghana 2 0 1 1 3 4 1
Ureno 1 0 0 1 0 4 0
Kundi H
P W D L F A PTS
Belgium 1 1 0 0 2 1 3
Korea 1 0 1 0 1 1 1
Russia 1 0 1 0 1 1 1
Algeria 1 0 0 1 1 2 0
RATIBA :
LEO, Jumapili
Ubelgiji v Russia (1:00)
Korea Kusini v Algeria (4:00)
Marekani v Ureno (7:00)
KESHO, Jumatatu
Australia v Hispania (1:00)
Uholanzi v Chile (1:00)
Cameroon v Brazili (5:00)
Croatia v Mexico (5:00)
KESHOKUTWA, Jumanne
Costa Rica v England (1:00)
Italia v Uruguay (1:00)
Ugiriki v Ivory C (5:00)
Japani v Colombia (5:00)
JUMATANO, Juni 25
Bosnia v Iran (1:00)
Nigeria v Argentina (1:00)
Ecuador v Ufaransa (5:00)
Honduras v Uswisi (5:00)
ALHAMISI, Juni 26
Ureno v Ghana (1:00)
Marekani v Ujerumani (1:00)
Algeria v Russia (5:00)
Korea Kusini v Ubelgiji (5:00)
No comments:
Post a Comment