KWA HABARI ZA BURUDANI, MICHEZO NA MATUKIO MBALIMBALI
STRIKA
USILIKOSE
Wednesday, September 3, 2014
Jumba la Big Brother Laungua moto uzinduzi waahirishwa
M-Net na kampuni ya production ya Endemol wamethibitisha kuungua kwa
moto jumba la mashindano ya Big Brother Huko South na kutoa taarifa kuwa
mashindano haya yamehairishwa mpaka itakapotolewa taarifa zaidi. Hakuna mtu aliyumia wala kupoteza maisha na mpaka sasa haijajulikana
chanzo cha moto ni nini. M-Net na Endemol wameshaanza kutafuta jumba la
kufanyia show ya mwaka huu na kutafuta vifaa vipya baada ya camera na
editing instruments kuungua moto.
No comments:
Post a Comment