KWA HABARI ZA BURUDANI, MICHEZO NA MATUKIO MBALIMBALI
STRIKA
USILIKOSE
Thursday, September 4, 2014
Rooney aibeba England afunga bao pekee dhidi ya Norway
BAO pekee la kipindi cha pili la mkwaju wa penati uliofungwa na Nahodha mpya wa England Wayne Rooney iliisaidia kuipa ushindi timu hiyo dhidi ya Norway katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa usiku wa jana. Rooney alifunga bao hilo katika dakika ya 68 kwenye pambano lililochezwa uwanja wa Wembley na kuhudhuria na watazamaji zaidi ya 40,000.
No comments:
Post a Comment