STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, February 15, 2015

BREAKING NEWZZ! BABA WA DULLY SYKES AFARIKI DUNIABABA wa msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes (63) amefariki dunia leo.

Kwa mujibu wa taarifa  ambazo MICHARAZO imezipata zinasema kuwa Mzee Sykes ambaye pi ni msanii wa muziki akiimba miondoko ya reggae na mingine alifariki leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi mtaletewa, ila MICHARAZO inampa pole Prince Dully Sykes na ndugu, jamaa na familia ya marehemu kwa msiba huo mzito kwa kukumbuka kuwa Kila Nafsi itaonja mauti.

No comments:

Post a Comment