![]() |
Sehemu ya umati uliojitokeza kumuaga Ngwair viwanja vbya leaders |

Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini.

Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

Umati
wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha
msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by.

Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.
No comments:
Post a Comment